COSTECH Integrated Repository

Usanifishaji wa Kiswahili Afrika Mashariki, Changamoto na Namna ya Kukabiliana nazo

Show simple item record

dc.creator Hans, Mussa
dc.date 2018-11-03T06:20:18Z
dc.date 2018-11-03T06:20:18Z
dc.date 2017
dc.date.accessioned 2021-05-07T11:36:42Z
dc.date.available 2021-05-07T11:36:42Z
dc.identifier Hans, M
dc.identifier 2026-8297
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.11810/4962
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.11810/4962
dc.description USANIFISHAJI WA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, CHANGAMOTO NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO. Mussa M. Hans –mussahans30@gmail.com Taasisi ya Taaluma za Kiswahili- Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ikisiri Mchakato wa usanifishaji wa lugha ya Kiswahili ulianza siku nyingi, hata kabla nchi za Afrika Mashariki hazijapata uhuru. Baada ya nchi hizi kupata uhuru bado mchakato huo umeendelea japo kwa malengo na mbinu tofauti. Wakati tukiwa tunajadili kuhusu mchakato wa usanifishaji wa lugha ya Kiswahili katika nchi za Afrika Mashariki, ni vema tukatilia maanani kuhusu mfumuko wa istilahi, hasa istilahi zinazohusu maendeleo ya sayansi na teknolojia ambazo huibuka kila uchao. Aidha, tukumbuke pia kwamba hivi sasa kuna mfumuko wa vyuo vikuu na Kiswahili ni miongoni mwa masomo yanayosomwa na wanafunzi wengi katika vyuo hivyo. Wanafunzi hao kwa yakini wanahitaji vitabu vya kutosha vya marejeo tena vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Wanajumuiya hawa pia wanahitaji kuwa na istilahi kubalifu katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja istilahi za utafiti hasa ukitilia maanani kwamba lugha ya mawasiliano katika ufundishaji wa somo hili ni Kiswahili. Katika mazingira kama haya kuna umuhimu wa kusimamia kwa makini mchakato wa usanifishaji wa istilahi za Kiswahili katika nyanja mbalimbali ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Lengo la makala haya ni kujadili changamoto zinazolikabili zoezi la usanifishaji wa Kiswahili katika jumuiya mpya ya Afrika Mashariki. Makala haya pia yatatoa mapendekezo ya nini kifanyike ili kuwa na matumizi bora ya lugha ya Kiswahili miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Maneno ya msingi: usanifishaji, Afrika mashariki na changamoto, Kiswahili
dc.language sw
dc.publisher University of Namibia
dc.relation Volume 2 N0, 2;
dc.subject usanifishaji, Afrika mashariki na changamoto, Kiswahili
dc.title Usanifishaji wa Kiswahili Afrika Mashariki, Changamoto na Namna ya Kukabiliana nazo
dc.type Journal Article


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account