COSTECH Integrated Repository

Nafasi ya ukristo katika ushairi wa Mnyampala

Show simple item record

dc.creator Longinus, Ponera Denice
dc.date 2019-08-20T11:57:50Z
dc.date 2019-08-20T11:57:50Z
dc.date 2015
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:54:35Z
dc.date.available 2022-10-20T13:54:35Z
dc.identifier Longinus, P. D. (2015). Nafasi ya ukristo katika ushairi wa Mnyampala. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/1016
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/1016
dc.description Tasnifu (Shahada ya Uzamili Sayansi Jamii katika Fasihi ya Kiswahili)
dc.description Tasnifu hii ilijikita katika kuchunguza nafasi ya Ukristo katika ushairi wa Mnyampala. Mada hii haijawahi kuchunguzwa ingawa wapo waliofanya utafiti wa kazi za mshairi huyu. Eneo la utafiti huu lilijikita katika kubainisha sababu na faida ya Mnyampala kujielekeza katika kuandika mashairi ya dini ya Kikristo. Asilimia kubwa ya utafiti huu ulifanyika maktabani ni kwa sababu taarifa nyingi juu ya Mnyampala zipo katika machapisho aliyoyaandika yeye na kutoka kwa waandishi mbalimbali. Vivyo hivyo mtafiti alikwenda uwandani kukutana na baadhi ya watu waliokuwa karibu na mtafitiwa na waliofanya tafiti juu ya kazi zake. Matokeo ya utafiti huu yamedhihirisha kuwa, Mnyampala ni mshairi Mkristo aliyekomaa kiimani kutokana na mafundisho ya imani ya kanisa Katoliki.Kutokana na kipaji chake cha ushairi, uamuzi wake wa kutumia ushairi katika kueneza Ukristo ulifata nyayo za washairi kadha waliomtangulia ambao walitumia ushairi kueneza imani zao. Aidha imebainika kuwa mchango wa Mnyampala kishairi umesaidia kukuza taaluma ya ushairi kwa kuongeza maneno mapya yenye dhana ya Ukristo.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.subject Ukristo
dc.subject Dini
dc.subject Dini ya Kikristo
dc.subject Ushairi
dc.subject Ushairi wa Mnyampala
dc.subject Mnyampala
dc.title Nafasi ya ukristo katika ushairi wa Mnyampala
dc.type Dissertation


Files in this item

Files Size Format View
PONERA DENICE LONGINUS.pdf 1.664Mb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account