COSTECH Integrated Repository

Matumizi ya utanzia katika riwaya teule za Said Ahmed Mohamed

Show simple item record

dc.creator Ali, Haji Khatibu
dc.date 2019-08-21T06:17:23Z
dc.date 2019-08-21T06:17:23Z
dc.date 2015
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:54:34Z
dc.date.available 2022-10-20T13:54:34Z
dc.identifier Ali, H. K. (2015). Matumizi ya utanzia katika riwaya teule za Said Ahmed Mohamed. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/1026
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/1026
dc.description Tasnifu (Shahada ya Uzamili ya Sayansi Jamii katika Fasihi ya Kiswahili)
dc.description Tasnifu hii, inahusu Matumizi ya Utanzia katika Riwaya Teule za Said Ahmed Mohamed. Riwaya zilizochuguzwa ni Utengano, Dunia Mti Mkavu na Kiza Katika Nuru. Dhana ya utanzia katika tasnifu hii ina maana ya maneno matendo au mazingira yanayozua kwa hadhira huzuni, jitimai, majonzi, masikitiko, majuto na maumivu ya mwili, roho au akili. Utanzia unajengwa na vipengele kama vile vifo, ajali, vifungo, mabalaa, ulemavu, vilio, maradhi, njaa na mateso. Yumkini, hakuna uchunguzi wa kutosha kuhusu matumizi ya utanzia katika kazi za fasihi ya Kiswahili. Hali hii imesababisha tatizo katika kuzielewa kazi mbalimbali za fasihi ya Kiswahili. Utafiti ulifanyika maktabani na uwandani. Maktabani tuliyadurusu mapitio mbalimbali kama vile: Majarida, tasnifu, tahakiki, makala na vitabu. Uwandani tulitumia mbinu ya mahojiano, majadiliano na udodosi. Kwa namna fulani mbinu hizi zilitusaidia katika kukusanya data mbalimbali zinazohusiana na utafiti huu. Maeneo ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Kusini Unguja, Dodoma na Dares Salaam yalitumika katika ukusanyaji wa data. Utafiti ulitumia nadharia ya Mwitiko wa Msomaji ambayo ilitumika kwa kupata fikra binafsi za wasomaji kutokana na uelewa wao wa vitabu teule walivyovisoma. Uchambuzi wa data uliegemea katika maelezo kwa kuwa utafiti huu ni wa kitaamuli. Hivyo, haukujihusisha na mwegamo wa kitakwimu. Matokeo ya utafiti yanaonyesha utanzia ni mbinu ya kibunulizi inayofungamana na utanzu mkongwe wa tamthiliya za kitanzia ambazo ndani yake hutoa athari maalum kwa wasomaji.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.subject Utanzia
dc.subject Riwaya
dc.subject Said Ahmed Mohamed
dc.subject Riwaya za Said Ahmed Mohamed
dc.subject Utengano
dc.subject Dunia Mti Mkavu
dc.subject Kiza Katika Nuru
dc.subject Fasihi ya Kiswahi
dc.title Matumizi ya utanzia katika riwaya teule za Said Ahmed Mohamed
dc.type Dissertation


Files in this item

Files Size Format View
HAJI KHATIBU ALI.pdf 1.652Mb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account