Ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazini

No Thumbnail Available

Date

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

The University of Dar es salaam

Abstract

Description

Abstract. Full text article available at https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/2433
Makala hii inahusu ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara Kaskazini. Sauti zilizolinganishwa ni konsonanti na irabu. Ulinganishi huu umezingatia Nadharia ya Isimuhistoria na Isimulinganishi katika kuonesha uhusiano wa “lugha” zilizochunguzwa. Lengo la ulinganishi wa “lugha” hizi ni kubaini kama kuna mfanano au tofauti miongoni mwake. Matokeo yaliyotokana na data kutoka uwandani yamedhihirisha mfanano mkubwa wa “lugha” hizi za Mara Kaskazini katika mfumo wa sauti. Matokeo haya yanatushawishi tuzichukulie “lugha” hizi kama ni lahaja zinahusiana kwa karibu, na pengine zimetokana na lugha-chanzi moja na sio lugha zinazojitegemea kama zinavyotazamwa kiisimujamii.

Keywords

Mfumo wa sauti, Mara kaskazini, Lugha, Konsonanti, Irabu, Lugha-chanzi, Kiisimujamii, Ulinganishi wa lugha

Citation