COSTECH Integrated Repository

Ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazini

Show simple item record

dc.creator Alphonce, Boniphace M.
dc.date 2020-11-25T08:02:58Z
dc.date 2020-11-25T08:02:58Z
dc.date 2018
dc.date.accessioned 2021-05-06T13:21:04Z
dc.date.available 2021-05-06T13:21:04Z
dc.identifier Alphonce, B. M. (2018). Ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazini. Kiswahili, 18(1), 52-61.
dc.identifier URL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/2433
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/2611
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/2611
dc.description Abstract. Full text article available at https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/2433
dc.description Makala hii inahusu ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara Kaskazini. Sauti zilizolinganishwa ni konsonanti na irabu. Ulinganishi huu umezingatia Nadharia ya Isimuhistoria na Isimulinganishi katika kuonesha uhusiano wa “lugha” zilizochunguzwa. Lengo la ulinganishi wa “lugha” hizi ni kubaini kama kuna mfanano au tofauti miongoni mwake. Matokeo yaliyotokana na data kutoka uwandani yamedhihirisha mfanano mkubwa wa “lugha” hizi za Mara Kaskazini katika mfumo wa sauti. Matokeo haya yanatushawishi tuzichukulie “lugha” hizi kama ni lahaja zinahusiana kwa karibu, na pengine zimetokana na lugha-chanzi moja na sio lugha zinazojitegemea kama zinavyotazamwa kiisimujamii.
dc.language Kisw
dc.publisher The University of Dar es salaam
dc.subject Mfumo wa sauti
dc.subject Mara kaskazini
dc.subject Lugha
dc.subject Konsonanti
dc.subject Irabu
dc.subject Lugha-chanzi
dc.subject Kiisimujamii
dc.subject Ulinganishi wa lugha
dc.title Ulinganishi wa mfumo wa sauti katika “lugha” za Mara kaskazini
dc.type Article


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account