COSTECH Integrated Repository

Uforensiki katika ujumi wa riwaya pendwa ya kiswahili: uchambuzi wa riwaya ya “Kikosi cha Kisasi”

Show simple item record

dc.creator Luhwago, Neema Julius
dc.date 2021-08-31T09:09:05Z
dc.date 2021-08-31T09:09:05Z
dc.date 2019
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:53:50Z
dc.date.available 2022-10-20T13:53:50Z
dc.identifier Luhwago, N. J. (2020). Uforensiki katika ujumi wa riwaya pendwa ya kiswahili: uchambuzi wa riwaya ya “Kikosi cha Kisasi”. JULACE: Journal of the University of Namibia Language Centre, 4(2), 54-66
dc.identifier URL: http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1476
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/3310
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/3310
dc.description Ikisiri. Makala kamili inapatikana http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1476
dc.description Makala haya yanakusudia kuchunguza namna uforensiki unavyoibua ujumi wa riwaya pendwa ya Kiswahili, sambamba na kuitambulisha taaluma ya uforensiki inavyojitokeza katika riwaya ya Kikosi cha Kisasi. Kutofahamikavyema kwa taaluma ya uforensiki katika riwaya pendwa ya Kiswahili, kumesababisha mtazamo hasi kwa wadau mbalimbali wa fasihi ya Kiswahili kama vile Kimura (1991), Hussein (1971) na Kezilahabi (1976), waliotafiti na kuihakiki riwaya pendwa ya Kiswahili na kuiona kuwa ni riwaya isiyo na mafunzo yenye maadili kwa jamii, kutokana na maudhui yake ya ujambazi, mauaji, uhalifu, ujasusi, mapenzi na upelelezi kuelezwa waziwazi. Hali hii imesababishwa na uchache wa wanataaluma waliojihusisha na tafiti zinazohusu uforensiki katika riwaya pendwa ya Kiswahili. Hata hivyo, suala la uforensiki katika kuibua ujumi wa riwaya pendwa ya Kiswahili halijashughulikiwa. Kutoshughulikiwa huko kunaendeleza mtazamo hasi wa kuziona riwaya hizi kuwa zimeiga utamaduni wa kigeni na hazina umuhimu katika jamii yetu, licha ya kuwa jamii yenyewe tayari imeshaathiriwa na utandawazi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia.. Makala haya yatasaidia kuondoa mtazamo hasi uliopo juu ya riwaya pendwa ya Kiswahili na kuidhihiridha namna uforensiki unavyoibua ujumi katika riwaya pendwa ya Kiswahili hususani riwaya ya Kikosi cha Kisasi.
dc.language Kisw
dc.publisher University of Namibia
dc.subject Uforensiki
dc.subject Riwaya pendwa
dc.subject Riwaya kiswahili
dc.subject Riwaya 'Kikosi cha Kisasi'
dc.subject Utandawazi
dc.subject Ujumi riwaya pendwa
dc.subject Uforensiki taaluma
dc.subject Uforensiki riwaya pendwa kiswahili
dc.title Uforensiki katika ujumi wa riwaya pendwa ya kiswahili: uchambuzi wa riwaya ya “Kikosi cha Kisasi”
dc.type Article


Files in this item

Files Size Format View
Luhwago, Neema Julius.pdf 6.208Kb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account