COSTECH Integrated Repository

Hali ya kupendwa kwa nyimbo za injili kama fasihi pendwa: mfano nyimbo za Christina Shusho

Show simple item record

dc.creator Bitababaje, Happiness W.
dc.date 2018-10-09T08:10:32Z
dc.date 2018-10-09T08:10:32Z
dc.date 2017
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:54:32Z
dc.date.available 2022-10-20T13:54:32Z
dc.identifier Bitababaje, H. W. (2017). Hali ya kupendwa kwa nyimbo za injili kama fasihi pendwa: mfano nyimbo za Christina Shusho. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/455
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/455
dc.description Shahada ya Uzamili katika Fasihi ya Kiswahili
dc.description Utafiti huu unahusu misingi ya kupendwa kwa nyimbo za Injili kama fasihi pendwa kwa kuangalia nyimbo za Christina Shusho. Nyimbo za Injili ni mpangilio wa sauti za kuimbwa sambamba na vitendo katika uhalisia wake ukipambanuliwa kwa gitaa na zumari wenye muonekano wa kanisa, kwa maana maudhui yake huwa tofauti na miziki mingine na ni nyimbo zinazoelezea habari njema za Yesu Kristo. Fasihi pendwa ni fasihi ambayo inapendwa na watu wengi na inaleta mvuto kwa watu wengi na inatofautiana na tanzu nyingine za fasihi. Katika kufanikisha malengo ya utafiti, nadharia ya upokezi imetumika katika uchanganuzi wa data. Data ilikusanywa kutoka mikoa ya Dodoma na Dar es Salaam. Mbinu za usaili, ushuhudiaji, udurusu wa maandiko na majadiliano zilitumika katika kukusanya data, sambamba na matumizi ya kanda zilizorekodiwa wakati mtafiti akiwa uwandani. Utafiti umebaini kuwa nyimbo za Injili ni utanzu mmojawapo wa fasihi pendwa katika tanzu za fasihi za Kiswahili. Tumeona kuwa nyimbo za Injili ni nyimbo zenye wapenzi wengi. hii hutokana na namna mwimbaji anavyoimba, haiba yake na uwasilishaji wake na maudhui mbalimbali yanayojitokeza katika nyimbo za mwimbaji yanayoigusa jamii. Nyimbo za Injili kama utanzu mmojawapo wa fasihi simulizi ina mchango mkubwa katika kusana kazi za kifasihi na zina maudhui mbalimballi yanayoigusa jamii. Misingi ya kupendwa kwa nyimbo za Injili ni kitu amabacho kinahitaji tafiti zaidi za kitaaluma kutokana na umuhimu wake katika jamii. Inapendekezwa kuwa tafiti zifanywe katika tanzu nyingine za fasihi.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.subject Fasihi
dc.subject Fasihi pendwa
dc.subject Nyimbo
dc.subject Nyimbo za injili
dc.subject Christina Shusho
dc.subject Tanzu za fasihi
dc.subject Nadharia
dc.subject Nadharia ya upokezi
dc.subject Dodoma
dc.subject Dar es Salaam
dc.subject Fasihi ya Kiswahili
dc.subject Fasihi simulizi
dc.subject Tanzania
dc.subject Injili
dc.title Hali ya kupendwa kwa nyimbo za injili kama fasihi pendwa: mfano nyimbo za Christina Shusho
dc.type Dissertation


Files in this item

Files Size Format View
HAPPINESS BITABABAJE- RIPOTI.pdf 1.032Mb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account