COSTECH Integrated Repository

Uhalisia wa maisha ya jamii ya wanyakyusa unavyosawiriwa katika dhamira za nyimbo za ngoma ya Maghosi

Show simple item record

dc.creator Shuma, Clara
dc.date 2019-08-18T10:28:25Z
dc.date 2019-08-18T10:28:25Z
dc.date 2015
dc.date.accessioned 2022-10-20T13:54:33Z
dc.date.available 2022-10-20T13:54:33Z
dc.identifier Shuma, C. (2015). Uhalisia wa maisha ya jamii ya wanyakyusa unavyosawiriwa katika dhamira za nyimbo za ngoma ya Maghosi. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodoma.
dc.identifier http://hdl.handle.net/20.500.12661/775
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12661/775
dc.description Tasnifu (Uzamili Fasihi ya Kiswahili)
dc.description Utafiti huu ulichunguza uhalisia wa maisha ya jamii ya Wanyakyusa unavyosawiriwa katika nyimbo za ngoma ya Maghosi. Ngoma ya Maghosi ni ngoma ambayo huchezwa na jamii ya Wanyakyusa wanaoishi kwenye vijiji mbalimbali ambavyo vinapatikana katika wilaya ya Rungwe wakati wa kiangazi baada ya mavuno. Data zilikusanywa uwandani; ambapo mtafiti alikwenda katika mazingira halisi na kutumia mbinu ya kushuhudia na mahojiano. Uchambuzi na uchanganuzi wa taarifa zote zilizopatikana katika mchakato wa utafiti uliongozwa na nadharia ya Usosholojia na kuwasilishwa kwa kutumia mbinu ya ufafanuzi. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kwamba, nyimbo za ngoma ya Maghosi zimesheheni dhamira lukuki. Miongoni mwa dhamira hizo ni, uwajibikaji na kutowajibika kwa viongozi, umoja na mshikamano, unyonyaji, kuinua kipato cha wananchi, uaminifu katika ndoa, tahadhari ya magonjwa hatari, ndoa za kulazimishwa, suala la malezi, kutunza bikira na suala la mavazi. Aidha, utafiti umegundua kuwa dhamira zinazopatikana kwenye nyimbo hizo zinasawiri maisha halisi ya jamii ya Wanyakyusa kutokana na fasihi kuakisi yale yaliyotokea/yanayotokea katika jamii husika.
dc.language Kisw
dc.publisher Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.subject Maisha ya wanyakyusa
dc.subject Wanyakyusa
dc.subject Ngoma za asili
dc.subject Ngoma ya maghosi
dc.subject Nyimbo za asili
dc.subject Tanzania
dc.subject Nadharia ya Usosholojia
dc.subject Mavuno
dc.subject Unyonyaji
dc.subject Uaminifu
dc.subject Malezi
dc.subject Umoja
dc.title Uhalisia wa maisha ya jamii ya wanyakyusa unavyosawiriwa katika dhamira za nyimbo za ngoma ya Maghosi
dc.type Dissertation


Files in this item

Files Size Format View
CLARA SHUMA.pdf 1.860Mb application/pdf View/Open

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search COSTECH


Advanced Search

Browse

My Account