Uafrikanishaji katika riwaya ya kiswahili

dc.creatorFaustine, Stella
dc.date2022-03-08T11:48:39Z
dc.date2022-03-08T11:48:39Z
dc.date2020
dc.date.accessioned2022-10-20T13:53:51Z
dc.date.available2022-10-20T13:53:51Z
dc.descriptionIkisiri. Makala kamili inapatikana https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/3160
dc.descriptionMakala haya yanajadili namna uchimuzi wa falsafa ya Waafrika unavyochangia kuipa fasihi ya Kiswahili sura ya Uafrika. Vipengele vilivyojadiliwa katika makala hii ni uzazi na ulezi kama jambo la muhimu kwa Waafrika, imani kuhusu uchawi, kuwapo kwa ulimwengu wenye matabaka matatu, mwendelezo wa maisha baada ya kifo na mtazamo kuhusu kuwapo kwa busara na hekima kwa wazee. Swali linaloibuliwa na kujibiwa na makala haya ni kuwa, je, ni kwa namna gani falsafa ya Waafrika imesawiriwa katika fasihi ya Kiswahili, na hivyo, kuifanya kuwa na sura ya Uafrika? Makala yanajibu swali hili kwa mifano hai kutoka katika riwaya za Kiswahili zilizoandikwa kwa kufuata mkondo wa kimajaribio ambazo ni Nagona (1990) ya E. Kezilahabi, Babu Alipofufuka (2001) ya S. AMohammed na Bina – Adamu! (2002) ya K. W. Wamitila.
dc.identifierFaustine, S. (2020). Uafrikanishaji katika riwaya ya kiswahili. Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili JUZ, 38(55-73)
dc.identifierURL: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/mj/article/view/3160
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3459
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3459
dc.languageKisw
dc.publisherChuo Kikuu cha Dar es Salaam
dc.subjectFasihi
dc.subjectFasihi kiswahili
dc.subjectUafrikanishaji
dc.subjectUzazi
dc.subjectMalezi
dc.subjectFalsafa waafrika
dc.subjectNagona
dc.subjectBabu alipofufuka
dc.subjectBina – Adamu
dc.titleUafrikanishaji katika riwaya ya kiswahili
dc.typeArticle

Files