Nafasi ya ukristo katika ushairi wa Mnyampala

dc.creatorLonginus, Ponera Denice
dc.date2019-08-20T11:57:50Z
dc.date2019-08-20T11:57:50Z
dc.date2015
dc.date.accessioned2022-10-20T13:54:35Z
dc.date.available2022-10-20T13:54:35Z
dc.descriptionTasnifu (Shahada ya Uzamili Sayansi Jamii katika Fasihi ya Kiswahili)
dc.descriptionTasnifu hii ilijikita katika kuchunguza nafasi ya Ukristo katika ushairi wa Mnyampala. Mada hii haijawahi kuchunguzwa ingawa wapo waliofanya utafiti wa kazi za mshairi huyu. Eneo la utafiti huu lilijikita katika kubainisha sababu na faida ya Mnyampala kujielekeza katika kuandika mashairi ya dini ya Kikristo. Asilimia kubwa ya utafiti huu ulifanyika maktabani ni kwa sababu taarifa nyingi juu ya Mnyampala zipo katika machapisho aliyoyaandika yeye na kutoka kwa waandishi mbalimbali. Vivyo hivyo mtafiti alikwenda uwandani kukutana na baadhi ya watu waliokuwa karibu na mtafitiwa na waliofanya tafiti juu ya kazi zake. Matokeo ya utafiti huu yamedhihirisha kuwa, Mnyampala ni mshairi Mkristo aliyekomaa kiimani kutokana na mafundisho ya imani ya kanisa Katoliki.Kutokana na kipaji chake cha ushairi, uamuzi wake wa kutumia ushairi katika kueneza Ukristo ulifata nyayo za washairi kadha waliomtangulia ambao walitumia ushairi kueneza imani zao. Aidha imebainika kuwa mchango wa Mnyampala kishairi umesaidia kukuza taaluma ya ushairi kwa kuongeza maneno mapya yenye dhana ya Ukristo.
dc.identifierLonginus, P. D. (2015). Nafasi ya ukristo katika ushairi wa Mnyampala. Dodoma: Chuo Kikuu cha Dodoma
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.12661/1016
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/1016
dc.languageKisw
dc.publisherChuo Kikuu cha Dodoma
dc.subjectUkristo
dc.subjectDini
dc.subjectDini ya Kikristo
dc.subjectUshairi
dc.subjectUshairi wa Mnyampala
dc.subjectMnyampala
dc.titleNafasi ya ukristo katika ushairi wa Mnyampala
dc.typeDissertation

Files