Utoshelevu wa Mawasiliano kwa Kiswahili katika Teknolojia ya Sikanu: Uchunguzi Kifani wa WhatsApp.

dc.creatorStephano, Rehema
dc.date2021-05-12T09:25:34Z
dc.date2021-05-12T09:25:34Z
dc.date2020
dc.date.accessioned2022-10-20T12:01:03Z
dc.date.available2022-10-20T12:01:03Z
dc.descriptionAbstract. Full text article available at http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1480
dc.descriptionMakala hii inahusu uchunguzi wa utoshelevu wa mawasiliano kwa Kiswahili katika teknolojia ya SIKANU. Uchunguzi umejikita katika programu tumizi ya SIKANU ijulikanayo kwa jina la WhatsApp na simu ya mkononi aina ya Tecno F1 imetumiwa kama uchunguzi kifani. Utafiti umetumia mkabala wa kitaamuli, ambapo maelezo na maelekezo ya Kiswahili yaliyomo katika WhatsApp yamechunguzwa katika kupima utoshelevu wake. Vigezo vilivyotumika kupima utoshelevu wa mawasiliano hayo ni uelewekaji, uwepo wa msamiati katika kamusi za Kiswahili na katika matumizi ya wazungumzaji, ngeli za nomino, mpangilio wa viambishi na wa maneno katika tungo. Uchanganuzi umeonesha kuwa msamiati unaotumika katika WhatsApp, kwa kiasi kikubwa, ni toshelevu kiasi cha kukidhi mawasiliano baina ya watumiaji wake. Kuna msamiati ambao unafahamika na kuzoeleka kwa watumiaji na mwingine ni mapya. Msamiati mpya
dc.identifierStephano, R. (2020). Utoshelevu wa mawasiliano kwa Kiswahili katika teknolojia ya SIKANU. JULACE: Journal of the University of Namibia Language Centre, 5(1), 1-14.
dc.identifierURL: http://journals.unam.edu.na/index.php/JULACE/article/view/1480
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3040
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12661/3040
dc.languageKisw
dc.publisherUniversity of Namibia
dc.subjectTeknolojia
dc.subjectKISANU
dc.subjectWhatsApp
dc.subjectTecno F1.
dc.subjectSwahili
dc.subjectSimu ya mkononi
dc.titleUtoshelevu wa Mawasiliano kwa Kiswahili katika Teknolojia ya Sikanu: Uchunguzi Kifani wa WhatsApp.
dc.typeArticle

Files