CHANGAMOTO

No Thumbnail Available

Date

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

TUKI

Abstract

Description

Tamthiliya hii inaweza kutumika kama "darasa" kuhusiana na mambo ya ulemavu. Tamthiliya hii inajaribu kujenga fikra za ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu katika mazingira ambamo wametengwa ama na wanajamii wenzao wasio na ulemavu kutokana na "mitazamo hasi" waliyonayo; au wanatengwa kutokana na miundo mbinu isiyo Rafiki katika mazingira au maofisi hasahasa katika mfumo wa elimu, afya, ajira kwa kutaja kwa uchache.
Tamthiliya hii ya CHANGAMOTO inagusia changamoto wanazokumbana nazo watu wenye mahitaji maalumu katika muktadha wa Bara la Afrika hususani Tanzania. Tamthiliya inasawiri changamoto wanazokumbana nazo watu wenye ulemavu wa viungo, viziwi, wenye ualbino, na bubu.

Keywords

CHANGAMOTO ZA ULEMAVU, HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU, UNYANYAPAA, UBAGUZI

Citation