CHANGAMOTO

dc.creatorMAHENGE, ELIZABETH GODWIN
dc.date2018-10-24T10:31:49Z
dc.date2018-10-24T10:31:49Z
dc.date2010
dc.date.accessioned2021-05-07T11:37:33Z
dc.date.available2021-05-07T11:37:33Z
dc.descriptionTamthiliya hii inaweza kutumika kama "darasa" kuhusiana na mambo ya ulemavu. Tamthiliya hii inajaribu kujenga fikra za ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu katika mazingira ambamo wametengwa ama na wanajamii wenzao wasio na ulemavu kutokana na "mitazamo hasi" waliyonayo; au wanatengwa kutokana na miundo mbinu isiyo Rafiki katika mazingira au maofisi hasahasa katika mfumo wa elimu, afya, ajira kwa kutaja kwa uchache.
dc.descriptionTamthiliya hii ya CHANGAMOTO inagusia changamoto wanazokumbana nazo watu wenye mahitaji maalumu katika muktadha wa Bara la Afrika hususani Tanzania. Tamthiliya inasawiri changamoto wanazokumbana nazo watu wenye ulemavu wa viungo, viziwi, wenye ualbino, na bubu.
dc.identifier978-9987-531-14-1
dc.identifierhttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4950
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4950
dc.languagesw
dc.publisherTUKI
dc.subjectCHANGAMOTO ZA ULEMAVU, HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU, UNYANYAPAA, UBAGUZI
dc.titleCHANGAMOTO
dc.typeBook

Files